Misingi ya Graphics Design (Design Principles)

Published 2022-04-14
Platform Udemy
Rating 5.00
Number of Reviews 2
Number of Students 2
Price $19.99
Subjects

Go to Udemy

Principles of Graphics Design in Poster Design

Naitwa Joel Creative Designer

Karibu katika kozi yangu ya Fundamentals of Design (Misingi ya Design), ikiwa ni moja ya hatua muhimu katika kujifunza masuala ya Ubunifu wa kidigitali na Graphics Design kwa ujumla. Ungana nami kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa mfululizo wa video hizi.

Katika kozi hii utajifunza misingi ya design ambayo itakusaidia sana kukuza ujuzi wako kwa wewe unayeanza kujifunza masuala ya Creative Design hata kama unauzoefu kozi hii itakusaidia sana kuongeza ujuzi zaidi na kujiamini zaidi.

Baada ya kujifunza misingi yote muhimu ya Design utajifunza namna ya kutumia ujuzi uliojifunza kwa kufanya poster kwa kutumia Adobe Illustrator ingawa hata kama huna uelewa wa software hii unaweza kutumia software yoyote ya design.

Ni matumaini yangu makubwa kwamba utapata ujuzi mkubwa baada ya kozi hii, tazama kuanzia mwanzo mpaka mwisho see you next time.

Katika kozi hii utajifunza na kufanya projects zote kwa kutumia Adobe Illustrator ingawa haina maana ukiwa na software nyingine hutaweza hapana utaweza kujifunza vizuri, tutajadili kwa ndani mambo yafuatayo kama misingi ya design


Katika Mfululizo wa Episode kadhaa utajifunza kuhusu Fundamentals of Design (Misingi ya Design), ikiwa ni moja ya hatua muhimu katika kujifunza masuala ya Ubunifu wa kidigitali na Graphics Design kwa ujumla hivyo ungana nami kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa mfululizo wa video hizi usisahau kusubscribe na kuacha maoni juu ya episode hii.

Alignment katika Design, aligment ni kipengele muhimu ambacho kinaweza kuifanya kazi yako ya Graphics kuvutia na kuwa na muonekano wa kiprofessiona ikiwa itatumia kwa ufahasa


Typography Ni sanaa ya kupangilia Maneno au kifungu cha maneno katika design kwa lengo la kueleweka kiurahisi na kumvutia mtumiaji au msomaji wa kazi husika ya design. Hatuwezi hata kidogo kupuuza kipengele hiki ambacho ni moja yua MSINGI MUHIMU WA DESIGN, Typography ni muhimu kwa sababu inaweza kumfanya msomaji kuvutiwa au kutokuvutiwa na kazi nzima ya design. Nimefundisha kwa ufasaha sana kuhusiana na Misingi ya Design Katika kozi yangu iitwayo Design Fundamentals Kama unahitaji kujifunza zaidi misingi ya design


  1. Balance

  2. Algment

  3. Hierarchy

  4. Typography

  5. Colour

Poster project

Go to Udemy